For home theatre system solution

Saturday, April 28, 2012

The Guinness Book of Records Mpoo!!!..

Mhariri Wa Gazeti La Kwanza Jamii-Iringa Greyson Mgoi akiwa na Msanifu Kurasa John Mnubi wakistaajabu kuona kiazi kikubwa kilichochimbwa Mtaa  wa Frelimo mkoani Iringa
Picha ikionyesha utofauti wa kiazi chenye ukubwa wa Kawaida Kushoto na Kulia chenye ukubwa wa ajabu
Mzee Kalolo ambaye ndiye aliyechimba kiazi hicho akiwa amekibeba, kiazi hiki inasemekana ni kikubwa kuwahi kuchimbwa Iringa na Duniani kina wastani wa kg 8. Chanzo: http//:www.mjengwa.blogspot.com