Wasanii Dar watembelea ujenzi wa nyumba zao

Waandishi
wa habari za michezo pamoja na wasanii, wakitembea kwenda kuangalia
ujenzi unaoendelea wa nyumba zao, katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji
Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani jana kutoka kulia ni Tomm
Chilala, Kibwana Dachi na Kikumbi Mwanza Mpango 'King Kiki'.

Mwenyekiti
wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Cassim Taalib (katikati)
akimwelekeza Sheikh Majaliwa Selemani aliekwenda kuangalia maendeleo ya
Kijiji cha Mwanzega Mkulanga Tarafa yaChingungweni, zinapojengwa nyumba
kwa ajili ya wasanii, Sheikh Majaliwa, alitoa ahadi ya kujenga Msikiti
na Madrasa itakayofadhiliwa na African Relief Comettee Kuwait.

No comments:
Post a Comment