For home theatre system solution

Sunday, February 12, 2012

KIJANA AKUTWA AMEJINYONGA CHUMBANI MWAKE - IRINGA


Kijana Raphael Steven (18) mkazi wa Mwangata katika Manispaa ya Iringa akiwa amejinyonga kwa kutumia kanga ndani ya chumba cha mama yake mzazi usiku huu(tunaomba radhi kwa picha hizi)
Umati wa wananchi wa Mwangata wakitazama mwili wa kijana huyo
Ujumbe mzito alioacha kijana huyo kabla ya kujiua wakutwa ndani ya chumba chake
Dawa ya kuua wadudu ambayo alikuwa amedai kuwa amekwenda kuipulizia ndani ya chumba cha mama yake
Kijana Raphael Steven (kushoto) enzi za uhai wake akiwa na rafiki yake
Polisi wakiondoka na mwili wa kijana huyo baada ya kuutoka katika kitanzi

Vilio na simanzi zimetanda katika eneo la Mwangata katika Manispaa ya Iringa kufuatia kifo cha kijana Raphael Steven (18) ambaye alikuwa akijishughulisha na kazi ya kusajili laini za kampuni ya Tigo mjini Iringa ,kufuatia uamuzi wake wa kukatisha maisha yake kwa kujinyonga kwa kutumia kipande cha kanga ya mama yake mzazi ndani ya chumba cha mama yake huyo.

Tukio hilo ambalo limeacha maswali kwa wananchi wa Mwangata huku baadhi yao wakishindwa kujizuia kumwaga machozi limetokea usiku huu majira ya saa 9 hivi baada ya mama mzazi wa kijana huyo kubaini kijana wake huyo akining'inia katika chumbani kwake baada ya kujinyonga .


Ndugu wa karibu na kijana huyo walidai kuwa majira ya saa 2 usiku alimuaga bibi yake kuwa anaingia chumbani kwa mama yake mzazi kwa ajili ya kumsaidia kupulizia dawa ya kuua mbu na kuwa mbali ya kukatazwa kuingia chumbani kwa mama yake bado alilazimisha kuingia kuifanya kazi hiyo.

Inadaiwa kuwa baada ya kuingia katika chumba hicho aliufunga mlango kwa ndani ya kuigiza kupuuliza dawa ila kutokana na masaa kuzidi kuyoyoma bila kutoka ndipo walipoamua kusukuma mlango na kumwona kijana huyo akiwa amekufa kwa kujinyonga kwa kamba hiyo ya upande wa kanga ya mamake mzazi.

Kijana huyo mbali ya kuufunga mlango pia aliiharibu taa ya ndani ya chumba hicho na kupelekea chumba chote kuwa giza na kuchukua dumu tupu na kusimamia katika paa ya nyumba hiyo na kuifunga kamba hiyo na baada ya kuingiza shingo yake katika kitanzi hicho alilisukuma dumu hilo na kuanguka chini na yeye kubaki akining'inia juu na kufa.

Mashuhuda walioteta na mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com walidai kuwa kijana huyo mchana wa leo alionekana mtaani akiwa na mawazo tele na hakuna na muda wa kuzungumza na mtu kama siku za mwanzo .

Hata hivyo mashuhuda hao walisema kuwa kwa siku ya jana kijana huyo alionekana katika ukumbi mmoja wa starehe na kuzuiwa kuingia katika ukumbi huo baada ya kukosa kadi ya mwaliko .

Habari zinadai kuwa kijana huyo alikuwa hana makuu na mtu na kuwa siku zote alikuwa ni kijana mwenye kuheshimu wakubwa na wadogo na kuwa hata kifo chake bado kinaacha maswali kwa wananchi wa eneo hilo.

Zipo habari zinazodai kuwa kijana huyo amekufa kifo kama kile cha baba yake mzazi aliyekufa kwa kujinyonga mwaka 2002 kwa wakati huo walikuwa wakiishi eneo la Isoka mjini Iringa.

Mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com umebaini kukuta ujumbe wa maandishi ambao marehemu huyo alipata kuuacha kabla ya kifo chake katika meza ya chumba chake na katika ujumbe huo amepata kuacha maneno mazito yakiwemo ya kutaka asisumbuliwe mtu yeyote kwa kifo chake na kuwa kuwaaga baadhi ya marafiki na mpenzi wake mmoja pamoja na mama yake mzazi na kudai kuwa maisha ya Dunia Jembe lenu natangulia nilikotokea.

"Asisumbuliwe mtu kwa kifo changu na na kutaja majina ya rafiki zake na mpenzi wake (ambayo yamehifadhiwa huku akimalizika na neno .Respect..Don't Cry Momy and Rukia!!...Pole mama nimeamua kumfuata baba angu!!" ulisomeka ujumbe huo ambao ameacha marehemu

Wasanii Dar watembelea ujenzi wa nyumba zao

Waandishi wa habari za michezo pamoja na wasanii, wakitembea kwenda kuangalia ujenzi unaoendelea wa nyumba zao, katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani jana kutoka kulia ni Tomm Chilala, Kibwana Dachi na Kikumbi Mwanza Mpango 'King Kiki'.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Cassim Taalib (katikati) akimwelekeza Sheikh Majaliwa Selemani aliekwenda kuangalia maendeleo ya Kijiji cha Mwanzega Mkulanga Tarafa yaChingungweni, zinapojengwa nyumba kwa ajili ya wasanii, Sheikh Majaliwa, alitoa ahadi ya kujenga Msikiti na Madrasa itakayofadhiliwa na African Relief Comettee Kuwait.
Baadhi ya nyumba hizo. ujenzi unaoendelea wa nyumba zao, katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani jana wa pili kulia ni Ahmed Olotu 'Chilo' Kikumbi Mwanza Mpango 'King Kiki' Katibu wa mtandao huo, Selemani Pembe.

ZAMBIA WATIMIZA AHADI

Ni mabingwa AFCON 2012

Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zambia 'Chipolopolo' wakishangilia.
Libreville
TIMU ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Zambia maarufu kama ‘Chipolopolo’ imetimiza ahadi iliyoitoa juzi wakati wakiwakumbuka wachezaji wenzao waliokufa kwa ajali ya ndege mwaka 2003, kwa kutwaa ubingwa wa Mashindano ya Fainali ya Kombe la Afrika (AFCON) leo.
Chipolopolo imefanikiwa kutwaa kombe hilo baada ya kuwafunga timu ya Taifa ya Ivory Coast kwa mabao nane kwa saba (8-7) katika mikwaju ya penati. Juzi kabla ya fainali hiyo mjini Libreville timu ya Zambia ilitembelea eneo ambalo wenzao walipata ajali kwa kuwakumbuka na hivyo kuwaahidi mashabiki wake kuwa itatwaa ubingwa ili kuwaenzi wachezaji wenzao ambao walipata ajali ya ndege 1993 na kufariki wote.
Mpambano huo wa fainali ulikuwa mkati na mgumu kwa pande zote tofauti na ilivyotarajiwa labda Ivory Coast ingepata unafuu kutokana na kuwa na mastaa wengi wanaochezea ligi kubwa ulimwenguni.
Stophira Sunzu wa Zambia ndiye muuaji wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast katika Mashindano ya Fainali za Afrika mchezo wa fainali.

Zambia walionesha upinzani mkubwa katika dakika zote, ambapo timu zote zilishambuliana kwa zamu kila wanapopata nafasi. Mchezaji Didie Drogba huenda atakuwa wakwanza kulaumiwa baada ya kukosa penati iliyokwenda nje ndani ya dakika 90 za mchezo.
Hadi dakika 90 zinamalizika timu zote zilikuwa sare 0-0 na kuongezewa dakika 30 ambazo pia hakuna aliweza kukwamisha mpira katika nyavu za goli la mpinzani wake. Baada ya muda huo zilipigwa penati ambapo ndipo Zambia walifanikiwa kuwa mabingwa wa AFCON.
Muuaji wa Ivory Coast ni beki wa Zambia, Stophira Sunzu aliyefunga penati ya mwisho baada ya wapinzani wao kukosa, hivyo kuifanya timu yake kuibuka na magoli 8-7 dhidi ya Ivory Coast. Hadi mwisho wa pambano Chipolopolo 8 na Ivory Coast 7. Kwa ushindi huo Chipolopolo ya Zambia imetawazwa mabigwa huku Ivory Coast ikishika nafasi ya pili na Timu ya Taifa ya Mali ikishika nafasi ya Tatu baada ya kuitoa Ghana Jumamosi.
BURIANI WHITNEY HOUSTON
 Utakumbukwa daima

Katika maisha yangu kumuenzi na kumkumbuka Whitney houston, sitaweza kuisahau hoteli ya "Bevelley Hills Hotel" mahali ambapo uhai wa Whitney ndipo uliishia.

Kwanza kabisa nilipigwa na butwaa na kushindwa kuyaamini masikio yangu nilipozipata habari za kusikitisha za kifo cha mwanamuziki nguli duniani katika miondoko ya Soul na Rn'B Whitney Houston.
Kamwe dunia nzima haitaweza kumsahau Whitney kutokana na mchango wake mkubwa katika kuukuza na kuuendeleza muziki wa Soul na Rn'B duniani.

Alikuwa amepangwa kutumbuiza katika tuzo maarufu za muziki za Marekani ziitwazo "Grammy"
Ilikuwa ni wakati mgumu kwa Bobby Brown mara habari za kifo cha Whitney zilipomfikia. Wakati huo Bobby alikuwa Mississippi akifanya tamasha.


Sina imani kwamba pengo lake litaweza kuzibwa kwa urahisi kutokana na kipaji kikubwa alichojaliwa mwanadada huyu.
Ukiachilia mbali kashfa mbali mbali za matumizi ya madawa ya kulevya, kuna mambo mazuri aliyoyafanya Whitney ambayo tunaweza tukajifunza na kumuenzi kwayo.

Whitiney Houston alizaliwa mwaka 1963. Amekufa akiwa na umri wa miaka 49.Whitney houston ameacha mtoto mmoja ambaye amezaa na Bobby Brown. 


Nikiwa kama mdau wa tasnia hii ya muziki napenda kuchukua nafasi hii kumuombea Hayati Whitney Houston alazwe mahali pema peponi .... Amen!

Feb 12 2012 1:49 PM EST

Whitney Houston

Her Five Greatest Soundtrack Contributions

Late singer/actress' work in movies was inextricably linked to her music.


The late Whitney Houston may have only appeared in front of the camera in four feature films during her lifetime, but when a soundtrack featured the singer, best-selling albums and awards followed in her wake.
Houston's soundtrack contribution became synonymous with chart-topping albums, some among the best-selling of all time, so in her memory, we're taking a look back at some of her most significant musical efforts in film and the records she broke in the process.
"I Wanna Dance With Somebody" on the "13 Going on 30" Soundtrack
Almost 20 years after its initial release, "I Wanna Dance With Somebody" was re-released as part of the soundtrack for the 2004 Jennifer Garner film "13 Going on 30." The album was made up mostly of the biggest hits of the late '80s, including Michael Jackson's "Thriller" and Madonna's "Crazy for You." The soundtrack did not earn the awards or prestige of Houston's other credits, but the song's re-release brought it to a younger generation and reaffirmed its rightful place alongside the decade's most influential singles.
"Exhale (Shoop Shoop)" from "Waiting to Exhale"
Houston's second starring role resulted in another big soundtrack hit. The lead single from the album, "Exhale (Shoop Shoop)," sold more than 1 million copies and went platinum. The song earned four nominations at the 1997 Grammy Awards, including Song of the Year, and walked away with Best R&B Song. Written by Babyface, "Exhale (Shoop Shoop)" was just one of the many successful collaborations Houston would have with the famous producer.
"The Preacher's Wife" Soundtrack
Houston's last major film appearance before her death also brought about a record-breaking release for the artist. Houston performed all the songs on the soundtrack for "The Preacher's Wife," in which she starred opposite Academy Award winner Denzel Washington. The album itself went on to sell an estimated 6 million copies and became the best-selling gospel album of all time.
"When You Believe" from "The Prince of Egypt"
As one half of a duo that's sure to go down in R&B history, Houston performed "When You Believe" off of the "Prince of Egypt" soundtrack with Mariah Carey. The song only found moderate success on the Billboard charts, but the biggest honor came Oscar night, when the writer of "When You Believe," Stephen Schwartz, took home the Academy Award for Best Original Song in March 1999. Houston and Carey performed at the awards shortly before winning the honor.
"The Bodyguard" Soundtrack
Houston's greatest musical contribution to film is also the album she'll be most remembered for. The soundtrack for the 1992 film "The Bodyguard," co-starring Kevin Costner, surpassed all expectations of motion-picture soundtracks up until that time and became one of the best-selling albums in history. Ranking fourth in sales, only behind Michael Jackson's Thriller, Pink Floyd's Dark Side of the Moon and AC/DC's Back in Black, the soundtrack to "The Bodyguard" also took home the Grammy for Album of the Year. The most recognizable song of Houston's career, a cover of Dolly Parton's song "I Will Always Love You," was the first of three singles from the album to break the Billboard top 20. Houston was the first female artist to have three songs on the list at the same time.

Feb 12 2012 12:56 PM EST 55,725

Whitney Houston's Death: Details Emerge

According to reports, Houston may have drowned in her Beverly Hills hotel bathtub.


The day after pop super diva Whitney Houston was found dead in a Beverly Hills hotel room, details are beginning to emerge about what may have contributed to her sudden death.
While the cause of death remains a mystery, police tell People that "at this time, there's no obvious evidence of foul play."
Beverly Hills Police Lieutenant Mark Rosen said Saturday "someone in her entourage found her unresponsive in her room. ... Our detectives are still in the room, and her body is still here as well. I can confirm that Whitney Houston was pronounced dead at 3:55 p.m. this afternoon at the Beverly Hilton Hotel. We received a call at 3:43 p.m. from hotel security and Beverly Hills Fire, and police responded minutes later."
Police note that an investigation is ongoing. TMZ reports that while no illegal drugs were in her hotel room, prescription drugs were found. Sources add that she may have drowned in the bathtub, where her body was reportedly discovered.
Houston's body had been removed from the tub when authorities arrived, so an autopsy will have to be performed to determine the cause of her death. TMZ added that she had reportedly been taking Xanax at the time. Houston had been spotted drinking the night before at a pre-Grammy party, and in combination with the prescription drug, it could have led to her falling asleep in the tub and drowning.
Bobbi Kristina, Houston's daughter with ex-husband Bobby Brown, was reportedly on the hotel premises when Houston died. According to TMZ, Bobbi got into an argument with police when she was denied access to see her mother's body. Houston's cousin, Dionne Warwick, also showed up, according to reports, and was also not allowed to see the superstar's body. 

Houston died at the age of 48 in Los Angeles. Her body was found at the Beverly Hilton, hours before her mentor Clive Davis' annual pre-Grammy bash. She was expected to attend the annual fete. The party went on as planned Saturday night, where Davis, Diddy, Alicia Keys and Tony Bennett all paid tribute to the fallen star.
On Sunday night (February 12), fellow Davis protégé Jennifer Hudson and Houston's longtime friend Chaka Khan are expected to lead a tribute to the late icon during the 2012 Grammy Awards.
Grammy executive producer, Ken Ehrlich, said in a statement, "It's too fresh in everyone's memory to do more at this time, but we would be remiss if we didn't recognize Whitney's remarkable contribution to music fans in general, and in particular her close ties with the Grammy telecast and her Grammy wins and nominations over the years."
MTV News' Sway and James Montgomery will be live from the Grammys red carpet tonight starting at 5 p.m. ET to get reactions from music's biggest stars on the death of Whitney Houston. Watch reactions and remembrances at MTV.com.

Whitney Houston Dead

R&B diva's rep Kristin Foster confirms to MTV News singer has died. She was 48.


Whitney Houston, a multiplatinum pop/R&B singer who ruled the charts for decades beginning in the mid-1980s, has died, her publicist Kristen Foster confirmed to MTV News on Saturday (February 11). Houston was 48.
According to CNN, Beverly Hills Police confirmed the singer was found dead inside a Beverly Hilton hotel room at approximately 3:55 p.m. PT. The cause of death is being investigated.


Houston had recently staged a comeback in 2009, after a tumultuous divorce from singer Bobby Brown in 2006 after 14 years of marriage. The ex-couple have a daughter together, Bobbi Kristina. Brown and Houston battled substance abuse issues throughout their marriage, and their travails were well-publicized. But in recent years, Houston had made attempts to revive her once thriving music career only to find that her show-stopping voice had gathered some rust.
At her height, Houston was the music industry's reigning diva, releasing chart-topping albums well into the late 1990s, and earning her place as one of the best-selling artists in the world. Her unparalleled voice and All-American beauty propelled her onto the silver screen as well, with roles in the "The Bodyguard" and "Waiting to Exhale." The soundtrack for the former film yielded a string of hit singles and broke myriad chart records as well. 

Houston, the daughter of gospel singer Cissy Houston and the late John Houston, was discovered by Arista Records honcho Clive Davis in the early-1980s and he would go on to guide her career to the tune of 170 million albums, singles and videos sold. The iconic singer's hit songs — from "The Greatest Love of All" to "I Will Always Love You" — are now radio staples and firmly entrenched in the pop music canon.
Her influence can be heard on a generation of young singers who cite her as an inspiration, from Mariah Carey, Brandy and Monica to Christina Aguilera and Beyonce.
But Houston was dogged by her demons. In a 2009 interview with Oprah Winfrey she detailed the years of addiction and the toll they had taken on her personal and professional lives.
Join us for a tribute to Whitney Houston with non-stop music videos on MTV Hits and MTV Jams, all day Sunday.