For home theatre system solution

Thursday, February 16, 2012

DAR ES SALAAM

BREAKING NEWS....MAJAMBAZI WAVAMIA ENEO LA MLIMANI CITY DAR USIKU HUU

Habari zilizotua usiku huu kutoka jijini D,Salaam zinadai kuwa watu wanaosadikika Kuwa ni majambazi wakiwa na silaha wamevamia kituo cha mafuta cha Total eneo la Mlimani city na kufanya uporaji wa fedha baada ya kufunga eneo hilo.

Kwa mujibu wa vyanzo vyetu vya habari tukio hilo limetokea dakika chache kuanzia sasa na inadaiwa kuwa hakuna madhara makubwa kwa binadamu na kiwango cha fedha kilichochukuliwa na wezi hao bado kujulikana habari inakuja

No comments:

Post a Comment