For home theatre system solution

Thursday, February 16, 2012

DAR ES SALAAM

SEMINA LA WATEULE WA KILI MUSIC AWARDS 2012 YAFANYIKA LEO JIJINI DAR

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe akizungumwa wakati wa ufunguzi wa semina ya siku moja kwa wanamuziki walioingia kwenye kinyang'anyiro cha Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012 inayofanyika kwenye ukumbi wa JB Belmont,Benjamini Mkapa Tower,jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Tuzo za BASATA,Angelo Luhala akifafanua jambo kwa wanamuziki walioingia kwenye kinyang'anyiro cha Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012 wakati wa semina ya siku moja inayofanyika kwenye ukumbi wa JB Belmont,Benjamini Mkapa Tower,jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati Elekezi ya Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards,Innocent Nganyagwa a.k.a Ras Inno akitoa maelekezo ya Tuzo hizo kwa wanamuziki walioingia kwenye kinyang'anyiro cha tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012 wakati wa semina ya siku moja inayofanyika kwenye ukumbi wa JB Belmont,Benjamini Mkapa Tower,jijini Dar es Salaam.
Muendeshaji wa Semina hiyo,Taji Liundi awajibika mchana huu.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
 
 Habari hii ni kwa hisani ya Fredynjeje.blogspot

No comments:

Post a Comment