
Kijana
ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja mkazi wa kata ya
Makorongoni mjini Iringa akiwa amewekwa chini ya ulinzi baada ya
kukutwa akivunja eneo la ofisi za Neema Crafts mjini Iringa jana usiku
(picha na Jeremia Chaula Photo wa www.blogspot.com)

Hapa akiadhibiwa kwa kumwagiwa maji ya baridi

Jamani wadau anafahamika huyo?

Vijana
hawa wanadaiwa kuwa kundi la vijana zaidi ya wanne na baada ya
kukurupushwa na walinzi walikimbia na kumsahau mwenzao huyo ambaye
aliwekewa mtigo na walinzi wa eneo hilo ,nyuma yake ni eneo ambalo
walianza kulivunja kulia
No comments:
Post a Comment