WAWILI WAKAMATWA JARIBIO LA WIZI WA GARI MWANANYAMALA
HABARI /PICHA: HARUNI SANCHAWA, GPL Watu wakilitazama gari lililotaka kuibiwa.
JESHI la polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni limewakamata vijana wawili waliokuwa wakitaka kuiba gari ndani ya hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam leo.Sakata hilo limetokea maeneo ya hospitali hiyo na kuvuta idadi ya watu wengi eneo hilo ambapo vijana hao waliohusika majina yao hayakupatikana na walitiwa mbaroni na polisi.
HABARI /PICHA: HARUNI SANCHAWA, GPL
No comments:
Post a Comment